SOMO: ISAYA 31:1-7,
ZABURI 121:1-8
UTANGULIZI
Kama watoto wa Mungu tunaitaji kumtegemea Mungu pekee. Lakini si kutafuta msaada kutoka miungu na sanamu hau kwenda katika njia ya Dunia hii. Msaada unaweza kupatikana Misri, Misri ni mahali mbali na mapenzi ya Mungu. Misri ni mfano wa dunia, haijalishi mateso ya mwenye haki ni mengi, lakini Bwana humuokoa kutoka kwa mateso yote.
Msaada kutoka kwa Mungu huleta Amani na furaha, lakini msaada kutoka misri ni laana. Hijalishi mateso yote ya mwenye haki, Mungu anaweza kukomboa (Zaburi 34;19-22)
Msaada wetu hupatikana kwa Bwana, hivyo hakuna sababu ya kwenda Misri, (2 Wafalme 1:2-4). Mfalme Asa alikufa mbele ya wakati wake, maana katika ugonjwa wake hakumwomba Mungu (II Nyakati 16:12-14)
Hebu Tuone:-
I. SABABU ZA WATU KUTAFUTA MSAADA KUTOKA MISRI
II. UKWELI WA KUPOKEA MSAADA KUTOKA MISRI.
III. JINSI YA KUPOKEA UKOMBOZI KUTOKA MAMBO YA MISRI.
MWISHO
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: KUTOKA 12:12-13. Damu ya Yesu Kristo ndiyo mhuri wa…
SERIES: SUPERNATURAL ADVANCEMENT. TEXT: HABAKKUK 3:19. The journey of fulfilling your destiny does not…
SERIES: THROUGH THE BOOK OF COLOSSIANS. TEXT: COLOSSIANS 3:15 Thankfulness is a great attitude…
SERIES: THE ANOINTING. TEXT: EZEKIEL 47:1-5 There are levels of the anointing and each…
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: ESTA 2:15-18. Kibali cha Mungu ndicho kinacho watenga watoto…
SERIES: THE GOD WHO NEVER FAILS. TEXT: HAGGAI 2:6-9. God has the power to…