MUNGU ANANENA, JE UNASIKIZA?

SOMO: I SAMWELI 3:1-21

UTANGULIZI

Kunazo kanuni za kusikiliza Mungu anenapo katika kitabu cha Samweli

I.  NI LAZIMA TUWE TAYARI KUSIKIZA MUNGU ANENAPO(3:1-8)

  • Basi, Samweli alihama kutoka Rama mpaka Shilo.
  • Samweli amehamia Shilo kutoka kwa nyumba ya Baba na Mama yake Elkana na Hanna
  • Samweli ameacha nyumba inamcha Mungu kwenda kwa nyumba ya Eli, Mungu alidharauliwa.
  • Samweli alianza kazi chini ya uongozi wa kuhani Eli.
  • Neno la Mungu lilikuwa Adimu siku zile, hapakuwa na mafunuo dhahiri.
  • Makuhani na viongozi wa watu walikuwa wafisadi, na watu waliacha kumcha Mungu.
  • “Kama jinsi viongozi walivyo ndivyo watu”
  • Kwa sababu watu walikuwa hawasikizi, Mungu hakunena na wao.
  • Hivi leo, si wengi wanamjia Mungu wakitamani kusikia kutoka kwake !!

II.  INGAWA TUTAVUNA TUNACHO PANDA, KATIKA KUANGUKA KWETU, MUNGU ANATUPA NAFASI MARA YA PILI. (3:9-14)

  • Mungu alimpa Eli nafasi ya pili kulea na kujikomboa toka kwa udhaifu wake.
  • Kile ambacho Eli akuwafanyia wanaye sasa amfanyie Samweli.
  • Wana wa Eli walikuwa wana wa shetani (2:12)
  • Eli alikuwa amejuta sana juu ya wanaye, lakini sasa amepata fursa ya kumlea Samweli.
  • Mungu atafanya kazi ya wazazi na pia wazazi hawatafanya kazi ya Mungu !!
  • Wazazi wasio na wakati wa kulea, hau wamechoka wanapoteza nafasi ya kuwalea watoto wao.
  • Hivyo Eli akamlea Samweli vizuri katikati ya wanaye yaani Hofni na Finehasi.
  • Ona, mwito wa Samweli kutoka kwa Mungu na jinsi Eli anamwelekeza Samweli (v.9-14)

III. TUSIDHUBUTU KUMLAUMU MUNGU HAU WATU WENGINE KWA SHIDA ZETU (3:11-18)

  • Eli alijua dhambi za wanaye, lakini hakuwarudi,
  • Wana wa Eli, walipita mpaka wa nidhamu za baba na za Mungu.
  • Dhambi yao imepita kiwango chake, hivyo hamna msamaha.
  • Hakuna wakati wa kutubu dhambi, sasa ni hukumu ya Mungu.
  • Eli alipokea hukumu za Mungu bila kumlahumu yeyote yule.
  • Eli hakuwa na neno la kusema juu ya hukumu za Mungu. (V.18)
  • Eli hakumlahumu mkewe, wanaye, kanisa hau hali ya kazi yake.
  • Mungu ni mwenye haki na pia mwenye rehema kuu.
  • Eli alimpenda Samweli na kumfunza kazi ya hukuhani.
  • Eli aliishi miaka 98, alihukumu Israeli miaka 40. (I Sam 4:15-18)

IV.  MUNGU ANGALITAKA KUNENA NASI LEO KUPITIA NENO LAKE (3:20-21)

  • Mungu alionekana tena pale Shilo.
  • Mungu anaonekana panapo utii.
  • Mungu alimjia Samweli kwa neno lake, Hivi leo Mungu ananena nasi kwa Yesu Kristo (Waebrania 1:1-4).

MWISHO

Shida yetu Leo si kwamba Mungu haneni nasi, Bali si wengi wanasikiza  Mungu anenapo.

 

The following two tabs change content below.
Rev, Dr. Willy Mutiso is the Senior Pastor at First Baptist Athiriver. He is widely known for his practical and dynamic teaching style which helps people apply the timeless truths of Scripture to their everyday lives.

Latest posts by Rev, DR. Willy Mutiso (see all)

Rev, DR. Willy Mutiso

Rev, Dr. Willy Mutiso is the Senior Pastor at First Baptist Athiriver. He is widely known for his practical and dynamic teaching style which helps people apply the timeless truths of Scripture to their everyday lives.

Recent Posts

MSAADA WA MUNGU WAKATI WA MATESO.

MFULULIZO: MAISHA BILA VIZUIZI. SOMO: ZABURI 46:1.   Biblia inatuakikishia kwamba Mungu wetu ni “Msaada…

11 hours ago

GOD GUIDES OUR DESTINIES.

SERIES: THE GOD WHO NEVER FAILS. TEXT: PROVERBS 3:5-6.   Every destiny is a divine…

13 hours ago

PUT OFF AND PUT ON

SERIES: THROUGH THE BOOK OF COLOSSIANS. TEXT: Colossians 3:5-10   We have put off the…

15 hours ago

GOD OF THE BREAKTHROUGHS

SERIES: THE GOD WE SERVE TEXT: 2nd SAMUEL 5:17-20   Breakthroughs are divine interventions that…

2 weeks ago

WHO IS SPEAKING TO YOU?

SERIES: DRAWING NEAR TO GOD TEXT: LAMENTATIONS 3:37 It reminds believers that God's word alone…

3 weeks ago

CHECHEA MSHINDI ALIYE NDANI YAKO.

MFULULIZO: MAISHA BILA VIZUIZI. SOMO: 1 YOHANA 5:4.   Wakristo wengi wanaishi maisha ya kushindwa…

3 weeks ago