KUTOKA 14:14
UTANGULIZI
Ni vizuri sana kumruhusu Bwana kupigana vita vyako kwa maana Mungu anapokupigania ushindi ni lazima. Leo tuna tazama njia nane Mungu atakupigania vita. Kila mwana wa Mungu yuko katika vita vya kiroho na kimwili pia. Biblia inatufundisha kwamba Mungu wetu Yehovah ni mtu wa vita. Ona Isaya 63:4, Warumi 12:19. Hivi omba maombi yafuatayo “ Ee, Bwana, nipiganie vita katika Jina La Yesu Kristo”, “Bwana anipigania vita name nitanyamaza kimya” (Kutoka 14:14)
Hebu tuone njia nane za vita za mungu kwa niaba yetu:-
MWISHO
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: KUTOKA 12:12-13. Damu ya Yesu Kristo ndiyo mhuri wa…
SERIES: SUPERNATURAL ADVANCEMENT. TEXT: HABAKKUK 3:19. The journey of fulfilling your destiny does not…
SERIES: THROUGH THE BOOK OF COLOSSIANS. TEXT: COLOSSIANS 3:15 Thankfulness is a great attitude…
SERIES: THE ANOINTING. TEXT: EZEKIEL 47:1-5 There are levels of the anointing and each…
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: ESTA 2:15-18. Kibali cha Mungu ndicho kinacho watenga watoto…
SERIES: THE GOD WHO NEVER FAILS. TEXT: HAGGAI 2:6-9. God has the power to…
View Comments
Ujumbe mzuri, umenibariki sana. Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu na akuzidishie mafunuo ya neno lake.
Ujumbe huu Roho mtakatifu amesema na wewe kwa ajili yangu na familia yangu. God bless you and your kin.