SOMO: KUTOKA 14:14
Huu ni mwaka mpya 2020. Lakini safari bado vita vya kiroho vingaliko, lakini kwa mwaka huu hebu tukamruhusu Mungu atupiganie vita. Bwana anapotupigania ushindi ni lazima. Kufahamu jinsi ya kupata ushindi ni jambo la busara sana. Kila mwana wa Mungu anaye jemedari ambaye hajapoteza vita yeyote. Katika kutoka 14:14 “Bwana atawapigania hinyo, nanyi mtanyamaza kimya.” Wengi wetu hatuna subira ya kumruhusu Bwana kutupigania, mara, tunaona kama Mungu ni mpole wa kazi. (Isaya 63:4) tena katika warumi 12:19. kulipiza kisasi ni kazi ya Mungu. Hebu tuone njia nane za Mungu kutupigania:-
I. BWANA ATAWASUBUA ADUI ZAKO (KUTOKA 14:24-26).
OMBA
Ee Bwana naomba uwasumbue adui zangu wanaonifuata nyuma, katika Jina la Yesu Kristo.
II. BWANA ATATUMA MALAIKA WAKE MBELE YAKO, KUPIGANA NA ADUI ZAKO. (II SAMWELI 5:23-25)
OMBA
Ee, Bwana, tuma malaika wako mbele yangu kupigana vita vyangu, katika jina ya Yesu Kristo.
III. BWANA ATAFANYA ADUI WAKO KUSIKIA SAUTI YA KUTISHA (II WAFALME 7:5-7)
OMBA
Ee Bwana wafadhaishe adui zangu wanaopigana nami waniache, katika jina la Kristo.
IV. BWANA ATATUMA MALAIKA WAKE KUWAUA ADUI ZAKO (MAMBO YA NYAKATI 32:21).
OMBA
Ee Bwana fanya adui zangu wapigane wao kwa wao na kuuana wao kwa wao.
V. BWANA ATAWAFANYA ADUI ZAKO KUOTA NDOTO ZA KUWATISHA (WAAMUZI 7:9-14)
OMBA
Ee, Bwana watumie ndoto za ajabu adui zangu wakanihofu sana.
VI. BWANA ATAWAPIGA MAWE KUTOKA MBINGUNI (Yoshua 10:10-11)
OMBA
Ee, Bwana nyesha mvua ya mawe na ngurumo zako juu ya adui zangu, katika jina la Kristo.
VII. BWANA ATATUMIA NJIA ZOTE KUWAPIGA ADUI ZAKO. (I WAFALME 20:29-30).
OMBA
Ee, Bwana wakimbize adui zangu kwa kila njia katika jina la Yesu Kristo.
VIII. BWANA ATAWAFANYA ADUI ZAKO KUPIGANA WAO KWA WAO. (II MAMBO YA NYAKATI 20:17-25).
MWISHO
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: KUTOKA 12:12-13. Damu ya Yesu Kristo ndiyo mhuri wa…
SERIES: SUPERNATURAL ADVANCEMENT. TEXT: HABAKKUK 3:19. The journey of fulfilling your destiny does not…
SERIES: THROUGH THE BOOK OF COLOSSIANS. TEXT: COLOSSIANS 3:15 Thankfulness is a great attitude…
SERIES: THE ANOINTING. TEXT: EZEKIEL 47:1-5 There are levels of the anointing and each…
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: ESTA 2:15-18. Kibali cha Mungu ndicho kinacho watenga watoto…
SERIES: THE GOD WHO NEVER FAILS. TEXT: HAGGAI 2:6-9. God has the power to…
View Comments
I'm really inspired together with your writing skills and also with
the structure in your blog. Is this a paid topic or did you customize it your self?
Anyway keep up the nice quality writing, it is uncommon to look a great blog like this one these
days..