MWANZO 7:1-16
UTANGULIZI
Biblia ni kitabu cha mialiko !Kutoka Mwanzo saba mpaka mwisho wa Ufunuo Mungu yupo katika kazi ya kualika. Hivyo natumfuate Mungu katika mialiko yake kwetu. Leo tunatazama mwaliko wa kwanza kutoka kwa Mungu. Neno njoo imetumika mara 1,972. Mwanzo 7:1 ndiyo ya kwanza. Mungu alimwalika Nuhu na Jamii yake kuingia ndani ya safina. Nuhu na jamii yake walihitaji kupokea na kujitoa kuingia katika ile safina. Bwana anapotuita tunahitaji kujitoa .
Hebu tuone:-
I. IFADHI YA MWALIKO HUU. (Mwanzo 7:1)
II. MWALIKO ULITOKA KWA MUNGU MWENYEWE (7:1)
III. USALAMA WA MWALIKO HUU. (7:16)
MWISHO
¨ Nuhu aliokoka gharika kwa sababu ya imani.
¨ Safina ilikuwa moja tu- Njia ya kuokoka ni Yesu pekee
¨ Je, Mungu anakuita uokoke ? Mlango ni wazi.
¨ Je, umeokoka ? Basi, Amini kwamba wewe ni salama ndani ya Kristo.
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: KUTOKA 12:12-13. Damu ya Yesu Kristo ndiyo mhuri wa…
SERIES: SUPERNATURAL ADVANCEMENT. TEXT: HABAKKUK 3:19. The journey of fulfilling your destiny does not…
SERIES: THROUGH THE BOOK OF COLOSSIANS. TEXT: COLOSSIANS 3:15 Thankfulness is a great attitude…
SERIES: THE ANOINTING. TEXT: EZEKIEL 47:1-5 There are levels of the anointing and each…
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: ESTA 2:15-18. Kibali cha Mungu ndicho kinacho watenga watoto…
SERIES: THE GOD WHO NEVER FAILS. TEXT: HAGGAI 2:6-9. God has the power to…