Ni watu wachachetu tu nje ya Yesu Kristo wamechangia katika historia ya ulimwengu kama Ibrahimu.Ibrahimu anaheshimika na zaidi ya nusu ya watu wa dunia. Wayaudi,Waislamu na Wakristo wanamheshimu Ibrahimu kiasi cha kumwabudu.
Hivyo dini za Uyaudi,Uislamu na Ukristo zinaitwa dini za Ibrahimu. Ibrahimu ni mfano mwema wa wale wanaoishi kwa imani (Waebrania 11:8-19, Yakobo 2:23) Ibrahimu anaitwa ‘Rafiki wa Mungu’.
Leo tunatazama jinsi mungu alivyomwita na kumpa ahadi ya kumbariki .Ibrahimu aliishi zaidi ya miaka 4100 iliyopita lakini sifa zake na maisha yake ya imani ndio kiini cha imani ya kuokoa . Hebu tujifunze;
A.Mahali pa Nyumba Kale ya Ibrahimu
B.Shida ya nyumba kale ya Ibrahimu
C. Machungu ya Nyumba ya kale ya Ibrahimu
A.Mwito wa kutoka (12:1)
B.Ibrahimu alikosa kutii kwa ukamilifu
C. Gharama ya kuchelewa (11:32)
3 . MAISHA YA FURZA KUU (THE WONDER YEARS) 12:1-3
Baada ya miaka ya dhambi na miaka ya kupoteza katika kuchelewa, mungu alimpa IBrahimu miaka ya Baraka. Miaka yake ilikuwa 75
A.Miaka ya Uwepo wa mungu. 12:1 (Waeb 13:5, Zab 37:19)
B. Miaka ya kumtazama Mungu na utoshelevu wake 12:1-3
C. Miaka ya Kufahamu mpango na kusudi Kwa Mungu
MWISHO
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: KUTOKA 12:12-13. Damu ya Yesu Kristo ndiyo mhuri wa…
SERIES: SUPERNATURAL ADVANCEMENT. TEXT: HABAKKUK 3:19. The journey of fulfilling your destiny does not…
SERIES: THROUGH THE BOOK OF COLOSSIANS. TEXT: COLOSSIANS 3:15 Thankfulness is a great attitude…
SERIES: THE ANOINTING. TEXT: EZEKIEL 47:1-5 There are levels of the anointing and each…
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: ESTA 2:15-18. Kibali cha Mungu ndicho kinacho watenga watoto…
SERIES: THE GOD WHO NEVER FAILS. TEXT: HAGGAI 2:6-9. God has the power to…