SOMO: MATHAYO 12:29; 16:18-19
LUKA 11:21-22
UTANGULIZI
Jina la Bwana ni ngome imara, mwenye haki hukimbilia akawa salama. Kwa sababu tumekimbilia ngome hilo na nguvu zake, hivyo anaye tufuatia anapoteza nguvu zake. EE, Bwana vunja kila nguvu za kuzimu zinazotudharau. Neno lasema katika (Wakolosai 2:15) “Akiisha kuzivua Enzi na mamlaka na kuzifanya kuwa mkogo kwa ujasiri, akizishangilia katika msalaba huo”. Katika somo hili, maneno matatu ni dhairi “Kufunga, kufungua na kuteka”
Hebu tujifunze juu ya Ukombozi:-
I. KUFUNGA
II. BASI VITU GANI KUFUNGA.
III. NI NANI ANAYE NGEUZA NDOTO ZETU?
IV. MAANA YAKE KUFUNGUA.
V. MAANA YAKE KUTEKA.
VI. BASI, KWA NINI KUFUNGA, KUFUNGUA NA KUTEKA ?
MWISHO
Omba:
MFULULIZO: MJUE MUNGU WAKO. SOMO: ISAYA 8:18. Mungu wetu ni YEHOVAH. Yehovah si Mungu…
SERIES: “NEARER MY GOD TO THEE.” TEXT: PSALM 42:7. Many believers settle for shallow…
SERIES: THE POWER OF PRAYER AND FASTING TEXT: ISAIAH 58:3-9 God desires that we…
MFULULIZO: MJUE MUNGU WAKO. SOMO: 1 WAFALME 20:23-28. Mabonde si mahali pa kuachwa lakini…
SERIES: NEARER MY GOD TO THEE.” TEXT: PSALM 91:1-2. The secret place is not…
SERIES: THE POWER OF PRAYER AND FASTING. TEXT: JOEL 2:12. Prayer and fasting has…
View Comments
MUNGU WA MBINGUNI akubariki kwa somo zuri nimejifunza kitu hapo mtumishi wa MUNGU.
Ansante kwa somo zuri na MUNGU wa mbinguni akubariki kwa mafundisho mazuri.
Nimebarikiwa sana sana Amina.