OMBEA WATU WOTE

I TIMOTHEO 2:1-8

UTANGULIZI

Wajibu wa kwanza kwa kanisa ni kuwaombea watu waote. Maombi ni ya haina nne, dua, sala, maombezi na shukrani.Hebu tutazame:-

I.  OMBEA KILA MTU (2:1)

  • Tunaitaji kuwaombea watu wote
  • Walio juu zaidi na walio chini sana.
  • Walio soma na wasio soma
  • Walio na mali na wasio na mali.
  • Walio mashuhuri na wasio mashuhuri.
  • Viongozi na wanao ongozwa,wazee kwa vijana, marafiki kwa maadui.
  • Hivyo hakuna ubanguzi kwa maombi, kila mtu anaitaji maombi, kila moja anahitaji Mungu na wakovu wake.
  • Maombi ni haina nne;
  1. Dua- (Supplication) maombi ya mahitaji ya dharura.
  2. Sala- (Prayers) hizi ni nyakati za maombi, kama sifa na ibada.
  3. Maombezi- (Intercessions) Haya ni maombi ya kuwaakilisha watu mbele ya Mungu, kusimama kwa niaba ya wengine.
  4. Shukrani-(Thanksgiving) Kumshukuru Mungu kwa aliyotenda.

II.  OMBEA WOTE WENYE MAMLAKA (2:2)

  • Waombee wote wambaya na wazuri.
  • Waombee wote wecheshi na wangwana.
  • Waombee wote wenye haki na wasio haki (Nero)
  • Tunawaombea wenye mamlaka kwa sababu mbili.
  1. Tuishi maisha ya utulivu na Amani (The handshake)
  2. Tuishi katika utauwa wote na ustahivu (freedom of worship and freedom of life and choice)

III. OMBEA WATU WOTE WAOKOKE (3-7)

  • Kuna sababu tano ya kuwaombea watu wote waokoke (Mitahli 11:11; 14:34; Tito 3:1, I Petro 2:17)
  1. Kwanza– Mungu ndiye mwokozi wetu, mapenzi yake ni kila mtu kuokoka (Yohana 3:16)
  • Mapenzi ya Mungu ni wote wapate kuokoka na kupata kujua yaliyo kweli (Yohana 14:6, Eze.33:11)
  1. Pili-Mungu ni mmoja- (v.5) one God, one way (I Wakorintho 8:4, Waefeso 4:6, I Yohana 5:7, Zab 86:10)
  2. Tatu-mpatanishi ni mmoja– Yesu Kristo (One mediator– Jesus Christ)v.5
  • Mwanadamu lazima awe na mpatanishi hili apate kuokoka– Yesu Kristo pekee ndiye mwanadamu mwenye haki (Yohana 1:14, Waebra 8:6, 9:15,24; 12:24-25, I Yohana 2:1)
  1. Nne– Mwanadamu Yesu Kristo alijitoa mwenyewe kuwa ukombozi kwa ajili ya wote (v.6) (I Wakorintho 7:23, Waefeso 1:7, Ufunuo 5:9)
  2. Tano– wahubiri, mitume na waalimu wameitwa na kuwekwa kuhubiri wakovu wa Mungu.
  • Paulo amesema mambo tatu kujihusu:-
  1. Mungu amemuita Paulo kuwa mhubiri– preacher (Marko 3:14, 16:15, I wakorintho 9:16)
  2. Mungu amemwita Paulo kuwa mtume– Apostle. Mtume ni yule anayeitwa kwa watu bado kusikia injili (2 wakorintho 5:20-21)
  3. Mungu amemwita Paulo kuwa Mwalimu– Mwalimu anafundisha, Imani na kweli ya neno. (Matendo 18:9-11, 28:30-31, Waefeso 4:11)

V.  OMBA KILA MAHALI KATIKA MOYO WA HAKI (2:8)

  • Omba bila kukoma (ii Wathesalonike 5:17)
  • Ombea mji, nyumba, inchi, kanisa, bara.
  • Omba huko ukiinua mikono iliyotakazika.
  • Omba bila hasira hau majadiliano
  • Omba bila wasiwasi wowote (marko 11:24, Yakobo 1:6-7, Waebrania 11:6)

 

MWISHO

  • Maombi ni njia ya kuwasiliana na Mungu
  • Omba bila kukoma.
  • Ombea wote,hubiria wote, fundisha wote.

 

 

The following two tabs change content below.
Rev, Dr. Willy Mutiso is the Senior Pastor at First Baptist Athiriver. He is widely known for his practical and dynamic teaching style which helps people apply the timeless truths of Scripture to their everyday lives.

Latest posts by Rev, DR. Willy Mutiso (see all)

Rev, DR. Willy Mutiso

Rev, Dr. Willy Mutiso is the Senior Pastor at First Baptist Athiriver. He is widely known for his practical and dynamic teaching style which helps people apply the timeless truths of Scripture to their everyday lives.

Share
Published by
Rev, DR. Willy Mutiso

Recent Posts

DAMU YA UTAKASO.

MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: KUTOKA 12:12-13.   Damu ya Yesu Kristo ndiyo mhuri wa…

2 days ago

KEY TO DIVINE SPEED.

SERIES: SUPERNATURAL ADVANCEMENT. TEXT: HABAKKUK 3:19.   The journey of fulfilling your destiny does not…

2 days ago

BE YE THANKFUL TO GOD.

SERIES: THROUGH THE BOOK OF COLOSSIANS. TEXT: COLOSSIANS 3:15   Thankfulness is a great attitude…

2 days ago

LEVELS OF THE ANOINTING.

SERIES: THE ANOINTING. TEXT: EZEKIEL 47:1-5   There are levels of the anointing and each…

6 days ago

UMETAKASWA KUPOKEA KIBALI.

MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: ESTA 2:15-18.   Kibali cha Mungu ndicho kinacho watenga watoto…

1 week ago

THE GOD WHO SHIFTS THE HEAVENS IN YOUR FAVOR.

SERIES: THE GOD WHO NEVER FAILS. TEXT: HAGGAI 2:6-9.   God has the power to…

1 week ago