MWANZO 4:12, KUMBUKUMBU 21:18-21, ZABURI 109:10
UTANGULIZI
Roho ya utoro, hau upako wa utoro na kutangatanga inachangia pakubwa kukosa muelekeo na kukosa shabaha katika maisha ya watu wengi. Shetani mwenyewe ni mtoro na kazi yake ni kusambaza roho na upako wa utoro na kutangatanga. Katika Mwanzo 4:12, tunaona mtoro wa kwanza duniani “Utakapolima arthi haitakupa mazao yake, utakuwa mtoro na mtu asiye na kikao duniani”. Katika Kumbukumbu 21:18-21, -watoto wanaweza kuwa watoro, katika Zaburi 109:10-laana ya utoro na kutangatanga na kukopa na kuomba omba. Katika Matendo 19:13-16– Wayahundi wenye kutangatanga (watoro) na wenye kupunga pepo (Exorcists). Katika Ayubu 1:6-7– shetani ndiye mtoro mkuu (Petro 5:8). Katika Luka 15:11-15– Mwana mpotevu alishika roho ya utoro na kutangatanga.
Hebu Tuone:-
I. ISHARA ZA MTORO (Luka 15:11-15)
II. MAANA YAKE UPAKO
III. ROHO NA UPAKO WA UTORO
MWISHO
Omba:
MFULULIZO: MAISHA BILA VIZUIZI. SOMO: ZABURI 46:1. Biblia inatuakikishia kwamba Mungu wetu ni “Msaada…
SERIES: THE GOD WHO NEVER FAILS. TEXT: PROVERBS 3:5-6. Every destiny is a divine…
SERIES: THROUGH THE BOOK OF COLOSSIANS. TEXT: Colossians 3:5-10 We have put off the…
SERIES: THE GOD WE SERVE TEXT: 2nd SAMUEL 5:17-20 Breakthroughs are divine interventions that…
SERIES: DRAWING NEAR TO GOD TEXT: LAMENTATIONS 3:37 It reminds believers that God's word alone…
MFULULIZO: MAISHA BILA VIZUIZI. SOMO: 1 YOHANA 5:4. Wakristo wengi wanaishi maisha ya kushindwa…