RUTHU 1:1-22

UTANGULIZI

Imani aina saba zinapatikana katika maisha ya Imani ya wanawake saba katika Biblia. Ruthu– Imani inayo okoa, Esta-Kuishi  kwa Imani,   Mariamu-Magdalene-Kufuata kwa Imani,    Mariamu dadake lazaro– Imani inayo abudu, Hanna– Imani inayo omba, Prisila– Imani ya kutumika, Sara– Imani ya kuwa na Jamii.

Ruthu alikuwa mwanamke wa Imani . Uamuzi wa Imani ndiyo iliamua maisha yake ya mbele kwa maana Ruthu alikuwa myahudi lakini  mtaifa hakuwa chini ya agano ya Israeli (Waefeso 3:11-22) kwa maana Ruthu alikuwa chini ya laana mpaka kizazi cha kumi (Kumbu kumbu 23:3). Ruthu alikuwa kizazi cha kumi na moja (11) yaani kizazi cha neema.

Hebu Tuone:-

UAMUZI WA IMANI WA RUTHU KUOKOKA. (1:16)

  1. Ruthu aliamua kuokoka– Ruthu ali bandilika
  • Elimeleki na Naomi mkewe walirudi nyuma wakahama bethlehemu kwa kwenda Moubu kwa sababu ya njaa nyingi (1:2)
  • Wanawe Elimeleki, yaani Maloni na Kilioni waliwaoa wanawake wa Moabu, baadaye wote wawili wakafa (1:5)
  • Naomi aliamua kurudi kwao, hivyo akamshauri ruthu kurudi kwa wazazi wake (1:15)
  • Usipokee ushauri kutoka kwa watu waliorudi nyuma.

Ruthu alichangua mambo manne:-

i)Naomi

ii)Watu wa Naomi

iii) Mungu wa Naomi

iv)Inchi na Taifa ya Naomi (1:16-17)

2.  Ruthu aliamua kwamba Mungu wa naomi atakuwa Mungu wake.

  • Alichangua kuishi maisha mapya (v.16)
  • Kuokoka ni kubadili hali ya maisha (Life style)
  1. Uamuzi kali unachangia Imani timilifu.
  • Watu wako ni watu wangu” (v.16)
  • Ruth alijitoa 100% – Utakapokufa nami, na papo hapo nitazikwa.
  • Mungu wa Israeli alikuwa lengo la uamuzi wa Ruthu- “Bwana anitende vivyo na kuzidi” v.17
  1. Ruthu alijitoa kufanya kazi kwa nguvu (2:2)
  • Ruthu alifanya kazi kwa bidi sana (2:7)
  • Ruthu alizalisha (2:19)

 

 

 

  1. Baraka za Mungu zinafuatana na uamuzi wa Imani.
  2. Aliongozwa na Mungu (2:3)
  3. Jicho la Boazi lilimpata Ruthu (2:5)
  4. Alikula mezani pa Boazi (3:13)
  5. Ruthu alipata kuolewa na Boazi (4:13)
  6. Uamuzi wa Imani sharti kuzaa matendo.
  7. Kuoga, kujipaka mafuta na kujivika mavazi mazuri (3:30
  8. Ruthu alichukua waajibu wa kuongea na Boazi (3:9)
  9. Vikwazo vitakuwapo (v.3:12)
  10. Mungu ataondoa vikwazo (4:6-14)
  11. Ruthu alipata neema– mtaifa– laana– alipata kibali Israeli.
  • Ruthu alipata nafasi katika jamii ya Mwokozi wetu Yesu Kristo.

 

 

MWISHO

  • Je, umeokoka ?
  • Imani ya kuokoa ipo leo.

 

The following two tabs change content below.
Rev, Dr. Willy Mutiso is the Senior Pastor at First Baptist Athiriver. He is widely known for his practical and dynamic teaching style which helps people apply the timeless truths of Scripture to their everyday lives.

Latest posts by Rev, DR. Willy Mutiso (see all)

Rev, DR. Willy Mutiso

Rev, Dr. Willy Mutiso is the Senior Pastor at First Baptist Athiriver. He is widely known for his practical and dynamic teaching style which helps people apply the timeless truths of Scripture to their everyday lives.

Share
Published by
Rev, DR. Willy Mutiso

Recent Posts

DAMU YA UTAKASO.

MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: KUTOKA 12:12-13.   Damu ya Yesu Kristo ndiyo mhuri wa…

11 hours ago

KEY TO DIVINE SPEED.

SERIES: SUPERNATURAL ADVANCEMENT. TEXT: HABAKKUK 3:19.   The journey of fulfilling your destiny does not…

13 hours ago

BE YE THANKFUL TO GOD.

SERIES: THROUGH THE BOOK OF COLOSSIANS. TEXT: COLOSSIANS 3:15   Thankfulness is a great attitude…

15 hours ago

LEVELS OF THE ANOINTING.

SERIES: THE ANOINTING. TEXT: EZEKIEL 47:1-5   There are levels of the anointing and each…

4 days ago

UMETAKASWA KUPOKEA KIBALI.

MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: ESTA 2:15-18.   Kibali cha Mungu ndicho kinacho watenga watoto…

1 week ago

THE GOD WHO SHIFTS THE HEAVENS IN YOUR FAVOR.

SERIES: THE GOD WHO NEVER FAILS. TEXT: HAGGAI 2:6-9.   God has the power to…

1 week ago