SOMO: YEREMIA 32:27,
MWANZO 18:1-15
UTANGULIZI
Je,
ni jambo gani lililokupeleka mbali na Mungu wako. Mungu anataka wewe ufahamu kwamba yeye anayaweza yote,na sharti tumpe nafasi katika maisha yetu. Mungu atayabadilisha maisha yetu na kuyajibu maombi yetu. Katika Yeremia 32:27, Mungu anawauliza waisraeli swali, “Tazama, Mimi ni Bwana, Mungu wa wote wenye mwili; je kuna neno gumu lolote nisiloliweza?”. Mungu aliwauliza wana wa Israeli. Kila mmoja wetu anayeshida na kutoamini. Ibrahimu na Sara walimwomba Mungu kwa muda mrefu sana, miaka ikapita bila majibu. Pia wewe na mimi tunapata kugoja wakati unapita. Pengine ni shida ya nyumba yako, hau afya yako, watoto wako, kazi etc. Mungu yuasema, mambo mwanadamu hasiyoweza, Mungu anaweza (Luka 18:27). Kwa Imani Sara alipokea jamii, yeye aliyeitwa tasa aliyepitwa na wakati.
Hebu tutazame:-
I. HOFU MBELE YA YASIYOWEZEKANA.
II. IMANI INAYOONA YASIYO ONEKANA.
III. IMANI INAYOJARIBU YASIOWEZEKANA
MWISHO
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: KUTOKA 12:12-13. Damu ya Yesu Kristo ndiyo mhuri wa…
SERIES: SUPERNATURAL ADVANCEMENT. TEXT: HABAKKUK 3:19. The journey of fulfilling your destiny does not…
SERIES: THROUGH THE BOOK OF COLOSSIANS. TEXT: COLOSSIANS 3:15 Thankfulness is a great attitude…
SERIES: THE ANOINTING. TEXT: EZEKIEL 47:1-5 There are levels of the anointing and each…
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: ESTA 2:15-18. Kibali cha Mungu ndicho kinacho watenga watoto…
SERIES: THE GOD WHO NEVER FAILS. TEXT: HAGGAI 2:6-9. God has the power to…