I SAMWELI 11:1-15
UTANGULIZI
Usipokimbia adui ataogopa sana kwamba wewe yuko tayari kwa vita, hivyo adui ndiye atakaye kukimbia. Ujumbe huu ni wa kutufundisha jinsi ya kupambana na nguvu zinazojivuna juu ya maisha yako (Dealing with boasting and proud powers of darkness). Ufalme wa mbinguni unaenda mbele kwa vita (Mathayo 11:12), Lazima kukabili adui na majivuno yake. Hebu tuone majivuno ya Nahashi, alipenda kufanya taifa yote ya Israeli taifa la watu wa jicho moja. Ni jambo mbaya sana kuwa na adui husiyeweza kumshinda. Nahashi mfalme wa Waamoni alikuwa na nguvu nyingi sana. Alijua kwamba watu wa Yabesh-Gileadi hawakuwa na nguvu. Hata watu wa Yabesh– Gilead walijua hawakuwa na nguvu za kupigana na Nahashi. Hivyo, watu wa Yabesh-Gilead waliamua kufanya Amani na aduizao kwa mkataba. Shida tulionazo ni kwa sababu ya kufanya mikataba na adui zetu na marafiki na watu wa nyumba. Kuwaendea adui kutafuta msaada kwa shida zetu ni hatia. Kutafuta msaada kwa adui dhidi ya adui nishida kubwa sana. (kama mama aliyekuwa na mtoto kiwete, mganga akaelekeza-mama mkwe, mama mkwe-amfungua mtoto, lakini watoto wao wote wakafa)Anaye kimbia ndiye anayefukuzwa (it is he who runs that is pursued ) (Zaburi 5:9 ; 120:7)
Hebu Tuone:-
I. SHETANI ANAYO MASHARTI MBAYA (I Sam. 11:2)
II. NAHASHI ANATOKEA HILI IMANI YETU IPATE KUONEKANA
III. JE, KUNAYE NAHASHI ANAYETAKA KUNG’OA MACHO YAKO ?
MWISHO
Maombi
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: KUTOKA 12:12-13. Damu ya Yesu Kristo ndiyo mhuri wa…
SERIES: SUPERNATURAL ADVANCEMENT. TEXT: HABAKKUK 3:19. The journey of fulfilling your destiny does not…
SERIES: THROUGH THE BOOK OF COLOSSIANS. TEXT: COLOSSIANS 3:15 Thankfulness is a great attitude…
SERIES: THE ANOINTING. TEXT: EZEKIEL 47:1-5 There are levels of the anointing and each…
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: ESTA 2:15-18. Kibali cha Mungu ndicho kinacho watenga watoto…
SERIES: THE GOD WHO NEVER FAILS. TEXT: HAGGAI 2:6-9. God has the power to…