KUMBUKUMBU 29:18, MATHAYO 15:13
UTANGULIZI
Shina la kitu lina maana nyingi. Shina ni chanzo cha mtu hau kitu. Shina ni msingi, nanga, mwanzo hau katikati ya kitu hau mtu. Katika kumbukumbu 29:18, Bwana anasema kusiwe na mtu mume hau mke mwenye shina lizaalo uchungu na pakanga (wormwood). Uchungu ni sumu kali hau nyongo. Katika Warumi 11:16– kama shina ni takatifu mti ni takatifu. Shina linapokuwa mbaya, matunda yake yana kuwa mbaya.(Kulikuwa na mwanamke msomi na tajiri, lakini aliabudu nyoka kwa siri. Nyoka alipokufa naye akafa, binti zake watatu waliokuwa wameshindwa ndoa walirudi kwa mume zao)
Hebu tuone:-
I. SHINA NI NINI?
II. ISHARA ZA SHINA LILILOUMIZWA
III. NGUVU ZINAZOCHANGIA;
IV. JINSI YA KUTIBU SHINA LILILOUMIA,
MWISHO
Omba:
TEXT: LUKE 2:1-14. The birth of Jesus Christ shattered spiritual, social and eternal barriers,…
TEXT: JOHN 3:16-17. Christmas unveils the divine mission behind the birth of Jesus Christ;…
MFULULIZO: KRISMASI NI KUFUNULIWA KWA YESU KRISTO. SOMO: LUKA 2:8-14. Krismasi inafunua jibu la…
SERIES: CHRISTMAS IS CHRIST. TEXT: JOHN 1:1-14. Christmas is the divine moment when God…
TEXT: ISAIAH 53:1-12. The son of man came to seek and save that which…
SERIES: CHRISTMAS IS JESUS CHRIST. TEXT: MATTHEW 1:21 Jesus Christ is the savior of…