I WAFALME 18:30-39
UTANGULIZI
Tunapotazama hali ilivyo katika kanisa mahali popote duniani leo, tunaona udhaifu, kutojitoa na kudidimia kwingi sana. katika makanisa mengi moto wa ufufuo na kuuishwa upya kumezimika kwa sababu dhambi, mwili na shetani amekolea sana. Shida si mchugaji hau ratiba ya kanisa. Shida hasa ni madhabahu yaliyovunjika katika maisha ya wateule wa Bwana. Sababu kuu ya madhabahu ni ibada, sadaka, matoleo,kusanyiko ya watu wa Mungu, kukutana na Mungu na kutengeneza agano na Mungu. Madhabahu ni mahali pa kukutana; Mungu na mwanadamu, kukutana katika mwenye mwili na Roho Mtakatifu. Kila mtu aliyeokoka na asiye okoka anafahamu kwamba mambo ya Roho ndiyo yanasimamia mambo ya khadri (The Spiritual controls the Physical). Hivyo ndivyo wasio na Kristo wanatafuta sana kuwasiliana na nguvu za giza, hivyo wanaoga na sabuni maalumu na kujipaka manukato maalum hili kuvutia maroho kuwasaidia.
Madhabahu ni mahali pakukutana Roho na wenye mwili, iwe ni kukutana na Mungu wa Mbinguni hau shetani na mapepo. Hivyo ndivyo ilivyokuwa wakati wa Eliya, soma tena. Madhabahu ya Mungu yalikuwa yamefanywa madhabahu ya Baali.
Hebu tuone:
I. SABABU YA KUTENGENEZA MADHABAHU YA BWANA.
II. MASHARTI YA KUTENGENEZA MADHABAHU YA BWANA.
III. UFUFUO KWA KUTENGENEZA MADHABAHU YA BWANA.
MWISHO
SERIES: THE ANOINTING. TEXT: EZEKIEL 47:1-5 There are levels of the anointing and each…
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: ESTA 2:15-18. Kibali cha Mungu ndicho kinacho watenga watoto…
SERIES: THE GOD WHO NEVER FAILS. TEXT: HAGGAI 2:6-9. God has the power to…
SERIES: THROUGH THE BOOK OF COLOSSIANS. TEXT: COLOSSIANS 3:16 Christianity is a singing religion.…
SERIES: THE GOD WHO NEVER FAILS. TEXT: ISAIAH 54:17 JEHOVAH God does not abandon…
SERIES: THEY THAT WAIT HAVE EAGLE'S ANOINTING TEXT: ISAIAH 40:31 The eagle symbolizes the…
View Comments
Nimebarikiwa sana na neno ya madhabahu
Ubarikiwe mtumishi, nimebarikiwa na ujumbe