LUKA 1:68-79
UTANGULIZI
Bethlehemu na Khaivari ni mahali pa mafundisho mengi. Pale Bethlehemu tunaona Neema ya Mungu, pale Khaivari tunaona chuki ya mwanadamu kwa Mungu muumba. Katika mlango huu tunaona nyimbo tatu.
Hebu tutazame wimbo huu wa Zacharia. Zacharia katika wimbo wake anatueleza kwamba tunaokolewa si hili tutosheke, kama vile hatuli chakula hili tushibe, bali tunakula hili tuishi, tupende na tufanye kazi. Hivyo tumekombolewa tuwezeshwe kumwishia Mungu, tuwapende wezetu na kumtumikia Kristo.
Hebu tuone:-
I. UKOMBOZI MKUU SANA (68-71)
II. SABABU YA UKOMBOZI (V.74)
III. KAZI YA YOHANA MBATIZAJI (v.76-80)
MWISHO
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: KUTOKA 12:12-13. Damu ya Yesu Kristo ndiyo mhuri wa…
SERIES: SUPERNATURAL ADVANCEMENT. TEXT: HABAKKUK 3:19. The journey of fulfilling your destiny does not…
SERIES: THROUGH THE BOOK OF COLOSSIANS. TEXT: COLOSSIANS 3:15 Thankfulness is a great attitude…
SERIES: THE ANOINTING. TEXT: EZEKIEL 47:1-5 There are levels of the anointing and each…
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: ESTA 2:15-18. Kibali cha Mungu ndicho kinacho watenga watoto…
SERIES: THE GOD WHO NEVER FAILS. TEXT: HAGGAI 2:6-9. God has the power to…