SOMO: ZABURI 125:1-5
ISAYA 14:1-5
UTANGULIZI
Mungu Baba anasema Fimbo ya udhalimu imekaajuu ya wenye haki kwa kitambo sasa. Lakini leo Mungu ataivunja hio fimbo ya uovu. Sababu, fimbo ya udhalimu ikikaa juu ya wenye haki, wenye haki watainyosha mikono yao kwenye upotovu !!. Hivi ndivyo wakristo wengi wanapo jaribiwa wanafanya mambo ya aibu. Unapoona watu wa heshima wanafanya mambo ya aibu, basi elewa fimbo ya udhalimu himo juu yao. Wanapo fanya aibu, basi haki yao inangeuka na kuwa upotovu. Maombi yangu ni kwamba fimbo ya udhalimu (The rod of wicked) itavunjwa katika Jina la Yesu juu ya maisha yako.
Fimbo ya udhalimu pia inaitwa “gongo la wabaya” (Isaya 14:1-5) Fimbo ya udhalimu huja kwa vipimo (Size) na rangi nyingi, wakati waovu wanataka kuvunja mazuri ndani ya maisha ya wataule, Fimbo ya udhalimu na gongo la wabaya ndio ishara ya mamlaka ya waovu.Kwa wengine fimbo ya udhalimu inaanza mapema katika maisha.
Hebu tujifunze:-
I. FIMBO NA GONGO YA WABAYA INAFANYA KAZI WAPI ?
II. JE FIMBO YA UDHALIMU INAWEKWA LINI?
III. BASI TUFANYE JE ?
MWISHO
Omba:
MFULULIZO: MAISHA BILA VIZUIZI. SOMO: ZABURI 46:1. Biblia inatuakikishia kwamba Mungu wetu ni “Msaada…
SERIES: THE GOD WHO NEVER FAILS. TEXT: PROVERBS 3:5-6. Every destiny is a divine…
SERIES: THROUGH THE BOOK OF COLOSSIANS. TEXT: Colossians 3:5-10 We have put off the…
SERIES: THE GOD WE SERVE TEXT: 2nd SAMUEL 5:17-20 Breakthroughs are divine interventions that…
SERIES: DRAWING NEAR TO GOD TEXT: LAMENTATIONS 3:37 It reminds believers that God's word alone…
MFULULIZO: MAISHA BILA VIZUIZI. SOMO: 1 YOHANA 5:4. Wakristo wengi wanaishi maisha ya kushindwa…