YEREMIA 6:16
UTANGULIZI
Katika siku hizi msafiti wa kiroho anafika katika njia panda. Hivyo kuna sababu ya kusimama, kuona na kuuliza “I wapi njia iliyo njema?”. Kwa maana njia ni nyingi siku hizi. Lakini njia ya Mungu na zamani ni moja, wengine walipita njia hio na wakafika (Waebrania 11: ). Leo ni Jumapili ya Mwisho wa mwaka 2018. Bwana amekuongoza majuma 52 mwaka huu. Leo ni siku ya shukrani kuu, huku tukitazama mbele, kwa mwaka kesho yaani 2019. Basi ujumbe wa leo unatuelekeza mbele.
Hebu tujifunze:-
I. KWANINI KUULIZA MAPITO YA ZAMANI?
II. JE, NJIA NA MAPITO YA ZAMANI NI NINI HASA?
III. KWANINI TUPITIE MAPITO YA ZAMANI?
MWISHO
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: KUTOKA 12:12-13. Damu ya Yesu Kristo ndiyo mhuri wa…
SERIES: SUPERNATURAL ADVANCEMENT. TEXT: HABAKKUK 3:19. The journey of fulfilling your destiny does not…
SERIES: THROUGH THE BOOK OF COLOSSIANS. TEXT: COLOSSIANS 3:15 Thankfulness is a great attitude…
SERIES: THE ANOINTING. TEXT: EZEKIEL 47:1-5 There are levels of the anointing and each…
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: ESTA 2:15-18. Kibali cha Mungu ndicho kinacho watenga watoto…
SERIES: THE GOD WHO NEVER FAILS. TEXT: HAGGAI 2:6-9. God has the power to…