MFULULIZO: WASHINDWA WAKUU KATIKA BIBLIA.
SOMO: I WAFALME 12: 1-24; WARUMI 15:4.
Utawala wa Rehoboamu juu ya Israeli ulikuja wakati mgumu sana- Israeli. Mfalme Suleimani babaye alikua amewatumia wana wa Israeli vibaya. Alikua amewaweka wana wa Israeli katika kazi ya utumwa (forced labour) na kuongeza ushuru zaidi. Hivi watu wa Israeli walikuwa wamechoka na mfalme Suleimani. Walitarajia mwanawe Suleimani (Rehoboamu) atawatawala watu vyema kuliko babaye.
Mara tu, alipotawazwa Rehoboamu wazee wa makabila ya Israeli walimwendea Rehoboamu na kumsihi kupunguza ule ushuru na kazi nzito aliyoeka juu ya watu, babaye Suleimani.
Kwanza mfalme Rehoboamu alitafuta ushauri kutoka kwenye Wazee wa watu walio kua washauri wa mfalme Suleimani. Baadaye mfalme Rehoboamu aliwaendea vijana wa rika lake kuomba ushauri.
Vijana wenzake walimshauri kuongeza ule ushuru na kuongeza mizigo juu ya wana wa Israeli.
Wana wa Israeli walipoona mfalme Rehoboamu ameongeza, ushuru na mizigo yao, na bei ya maisha ikapanda zaidi wana wa Israeli walijikata na kujitenga na mfalme Rehoboamu.
Makabila 10 (kumi) walijitenga na kuanza taifa lao kwa jina Israeli- makao yao makuu yakawa mle samaria.
Rehoboamu alibaki wa kabila mbili, yaani Yuda na Bejamini.
Hivi Rehoboamu alikua mfalme wa mwisho kutawala taifa lote la Israeli.
Kutoka wakati huo kukawa na falme mbili, Israeli na Yuda. Kila jambvo likawa mbili, Wafalme wawili, utawala mbili, ibada mbili, jeshi mbili, makuhani wakuu wawili. Yeroboamu alikua mfalme wa Israeli na Rehoboamu mfalme wa Yuda.
Rehoboamu alifanya makosa tatu yaliyo mfanya mshindwa mkuu katika Biblia. Hebu tuone;
KOSA LA KWANZA: USHAWISHI MBOVU.
KOSA LA PILI: REHOBOAMU ALIKATAA HEKIMA YA MUNGU.
KOSA LA TATU: REHOBOAMU ALIMWACHA MUNGU (2 MAMBO YA NYAKATI 12:1)
KWANINI WATU WANAMWACHA MUNGU?
MWISHO:
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: KUTOKA 12:12-13. Damu ya Yesu Kristo ndiyo mhuri wa…
SERIES: SUPERNATURAL ADVANCEMENT. TEXT: HABAKKUK 3:19. The journey of fulfilling your destiny does not…
SERIES: THROUGH THE BOOK OF COLOSSIANS. TEXT: COLOSSIANS 3:15 Thankfulness is a great attitude…
SERIES: THE ANOINTING. TEXT: EZEKIEL 47:1-5 There are levels of the anointing and each…
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: ESTA 2:15-18. Kibali cha Mungu ndicho kinacho watenga watoto…
SERIES: THE GOD WHO NEVER FAILS. TEXT: HAGGAI 2:6-9. God has the power to…