LUKA 1:5-22
UTANGULIZI
Tumefika Krisimas tena. Katika ibada hii tuta tazama sana watu waliochangia pakubwa katika kuzaliwa, kwa Mwokozi wetu Yesu Kristo. Nyuso za Krismasi ni nyuso za wale walikuwa karibu zaidi. Zakaria na mke wake Elisabeti walikuwa wazazi wa Yohana mbatizaji .Wote wawili walimpenda Mungu sana, wote wawili walimtumkia Mungu kwa moyo safi na utakatifu. Walikuwa wa kwanza kupokea habari za kuzaliwa Mwokozi wa ulimwengu. Kwa miaka 400, neno kutoka mbinguni halikusikika. Zakaria akawa wa kwanza kusikia toka mbinguni.
Hebu tuone:-
I. WAZAZI WA YOHANA BATIZAJI (V.5)
II. WAZAZI WA YOHANA BATIZAJI WALIKUWA WENYE HAKI (V.6)
III. WAZAZI WA YOHANA BATIZAJI WALIKUWA NA SHIDA ZA WANADAMU (V.7)
IV. WAZAZI WA YOHANA BATIZAJI WALIKUWA WATU WA IBADA (V.8-9)
V. WAZAZI WA YOHANA BATIZAJI WALIKUWA WATU WA MAOMBI (V.10) (Zaburi 91:15, I Mambo ya Nyakati 16:11)
VI. WAZAZI WA YOHANA BATIZAJI WALIKUWA NA KIBALI CHA MUNGU (V.11-17)
VII. WAZAZI WA YOHANA BATIZAJI WALIKOSA KUMWAMINI MUNGU (V.18-19)
VIII. KUKOBA IMANI KUNAFUNGA ULIMI WA USHUHUDA (V.20)
MWISHO
MFULULIZO: MAISHA BILA VIZUIZI. SOMO: ZABURI 46:1. Biblia inatuakikishia kwamba Mungu wetu ni “Msaada…
SERIES: THE GOD WHO NEVER FAILS. TEXT: PROVERBS 3:5-6. Every destiny is a divine…
SERIES: THROUGH THE BOOK OF COLOSSIANS. TEXT: Colossians 3:5-10 We have put off the…
SERIES: THE GOD WE SERVE TEXT: 2nd SAMUEL 5:17-20 Breakthroughs are divine interventions that…
SERIES: DRAWING NEAR TO GOD TEXT: LAMENTATIONS 3:37 It reminds believers that God's word alone…
MFULULIZO: MAISHA BILA VIZUIZI. SOMO: 1 YOHANA 5:4. Wakristo wengi wanaishi maisha ya kushindwa…