MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: KUTOKA 12:12-13. Damu ya Yesu Kristo ndiyo mhuri wa utakaso. Utakaso kwa damu ya YESU KRISTO unakulinda, kukuifadhi na kukudumisha kama mwana na mtoto wake Mungu, unatakaswa kutoka mauti, uaribifu, hukumu na hatari na janga zote. “Na ile damu itakuwa ishara kwenu katika zile nyumba mtakazokuwamo; nami nitakapoiona ile …
Category: Swahili Service
UMETAKASWA KUPOKEA KIBALI.
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: ESTA 2:15-18. Kibali cha Mungu ndicho kinacho watenga watoto wake kupokea baraka, kupenya na heshima. Zaburi 5:12, “Kwa maana wewe utam’bariki mwenye haki; Bwana utamzungushia radhi kama ngao.” Radhi ni kibali, hivyo kibali ni baraka za Mungu kwa watoto wake kila siku. Kibali ndio mali na urithi ulio mkuu …
MSAADA WA MUNGU WAKATI WA MATESO.
MFULULIZO: MAISHA BILA VIZUIZI. SOMO: ZABURI 46:1. Biblia inatuakikishia kwamba Mungu wetu ni “Msaada wa karibu.” Maanake ni kwamba Mungu wetu yu karibu nasi. Hivyo, kwa sababu Mungu yu karibu sana yeye yuko tayari kutusaidia kwa nguvu zake na neema yake. Maisha yamejaa nyakati za majaribu, kukosa hakika na dhaoruba za kila haina. Hakuna …
CHECHEA MSHINDI ALIYE NDANI YAKO.
MFULULIZO: MAISHA BILA VIZUIZI. SOMO: 1 YOHANA 5:4. Wakristo wengi wanaishi maisha ya kushindwa kwa sababu hawajui jinsi ya kuchochea ule ushindi na ushujaa ulio ndani ya maisha yao. Kila aliyezaliwa na Roho anaye mbegu ya ushindi ndani yake. Ulipookoka mshindi alizaliwa ndani yako, lakini uchochee ule ushindi. Umeumbwa kuwa mshindi na mtawala juu …
JINSI YA KUTAMBUA NA KUVUNJA VIZUIZI VYA BINAFSI.
MFULULIZO: MAISHA BILA VIZUIZI. SOMO: WAAMUZI 6: 11-16 Moja ya vizuizi kubwa zaidi kwa maendeleo ya maisha si upinzani kutoka nje lakini vizuizi vya binafsi. Vizuizi ndani yetu ni pamoja na hofu, kukosa usalama wa Nafsi, kuhukumiwa ndani, hali ya udhaifu wa nafsi, kujionea huruma haya. Yote yanavunja mtu kuliko adui walio nje yako. …
MAJIRA YAKO YATAPAMBAZUKA.
MFULULIZO: MAISHA BILA VIZUIZI SOMO: ISAYA 58:8-9. Majira kupambazuka ni wakati Mungu anachukua nafasi juu ya vita vyako, wakati Mungu anapata kukuinua na kuonyesha utukufu wake katika maisha yako. Kunafika wakati katika safari ya maisha, wakati Mungu anaviondoa vikwazo na vizuizi njiani mwako. Huu ni wakati Mungu anavunja kila ngome mbele zako hili matokeo …
ALICHO KUTENDEA YESU KRISTO
MFULULIZO: TUMAINI HAI SOMO: 1 PETRO 3:18-22. Leo tunatazama kifungu kigumu zaidi katika Agano Jipya. Kumbuka Petro akiwaandikia kanisa lilikuwa katika dhiki kuu. Hawa Wakristo walitapakaa mbali wakihofia maisha yao chini ya utawala wa mfalme Nero yaani Kaisari wa Roma. Hawa Wakristo walikuwa wamepoteza yote, nyumba, biashara, jamii na nchi yao. Kweli hawa walikuwa …
KUNYAKULIWA KWA KANISA
SOMO: MATHAYO 24:1-34 Tangu Adamu na Hawa kuumbwa mpaka leo ni jumla ya miaka 5,786 kulingana na kalenda ya Wayahudi. Kuna wakati Mungu atakamilisha dahari (close of this age). Huu ni wakati ambao dhiki kuu itaisha. Kabla ya dhiki kuu kuanza, kutakuwa na unyakuo (rapture of the church). Bwana alipaa mbinguni kwenda kutuandalia makao-Yohana …
SHUHUDIA KWA KILA MTU TUMAINI LAKO
MFULULIZO: TUMAINI HAI SOMO: 1ST PETRO 3:14-16 Wakristo wa Karne ya kwanza waliteseka sana kwa ajili ya imani yao ndani ya Yesu Kristo. Pamoja na kuteswa sana hawa Wakristo walikuwa na tumaini kubwa. Petro anawaandikia kwamba wawe na moyo mkuu na kushuhudia tumaini lao kwa kila mtu. Leo tunatazama njia za kushiriki na kuwashuhudia …
PENDA MAISHA
MFULULIZO: TUMAINI HAI. SOMO: 1 PETRO 3:8-12, (10). Kila mtu anapenda kuishi maisha bora zaidi. Sijakutana na mtu yeyote asiyependa kuishi vyema na bora. Kila mtu anapenda kuwa na furaha, amani, baraka na ufanisi-maisha mema. Lakini shida ni watu katika dunia hii hawajui maisha mazuri na bora na maisha ya namna gani. Wengine maisha …
