Swahili Service

TENGENEZA MADHABAHU YA BWANA

I WAFALME 18:30-39 UTANGULIZI Tunapotazama hali ilivyo katika kanisa mahali popote duniani leo, tunaona udhaifu, kutojitoa na kudidimia kwingi sana. katika makanisa mengi moto wa ufufuo na kuuishwa upya kumezimika kwa sababu dhambi, mwili na shetani amekolea sana. Shida si mchugaji hau ratiba ya kanisa. Shida hasa ni madhabahu yaliyovunjika katika maisha ya wateule wa …

Continue Reading