ISAIAH 55 INTRODUCTION The bible has many invitations. This passage is God’s invitation to contentment. Few people in the world ever reach a level of contentment. In fact, one poet put it this way “As a rule, man is a fool, when it is hot, he wants it cool, and when it is cool, …
Month: September 2019
YOABU ALIKUJA KWA MADHABAHU AMECHELEWA
I WAFALME 2:28-34 UTANGULIZI Kuna toba inayochelewa. Mtu huyu alikuja kwa madhabahu ya Bwana lakini alikuwa amechelewa hivyo akafa. Hili ni jambo la huzuni nyingi sana, Yohabu alilala hapo madhabauni mfu. Damu yake ililowa madhabahu lakini alikuja amechelewa. Kushika pembe za hekalu haitoshi kwa kuokoka. Yoabu hakuwa mtu wa ibada na kanisa, alikuwa mtu wa …
NO WEAPON FORMED AGAINST YOU SHALL PROSPER
ISAIAH 54:15-17 INTRODUCTION The pathway to the destroyers and wasters is sin. There is nothing that sold men into the hand of the devil and his agents like sin. This passage tells us though that the fight we are involved in has been “fixed”, God has destined us to win no matter how hard the …
SHORT TERM GAIN, LONG TERM PAIN
GENESIS 13:5-14 INTRODUCTION Besides his father Terah and wife Sarai (Gen.11:31) Abraham took his Nephew Lot to Haran, where the family accumulated possessions and acquired servants (Gen.12:5). After the death of Terah in Haran, God called Abram to resume the journey to Canaan. During the famine in Canaan, he went to Egypt which resulted in …
NGUZO NNE ZA MOYO WA MWANAUME
I WAFALME 2:1-4 UTANGULIZI Katika mwaka 1555, Hugh Latimer na Nicholas Ridley walitoka gerezani kwa mara ya mwisho. Walihukumiwa mauti kwa kuchomwa moto kwa sababu walikataa kumkana Yesu Kristo na kukataa Imani yao katika Kristo. Walipokaribia motoni, Latimer alimwambia Ridley “Furahini, Ridley simama kiume. Leo tutahakisha taa hakuna mtu atakaye zima, kwa neema ya Mungu”. …
