Swahili Service

WAZAZI WA YOHANA WALIMPENDA MUNGU

LUKA 1:5-22  UTANGULIZI Tumefika Krisimas tena. Katika ibada hii        tuta tazama sana watu waliochangia pakubwa katika kuzaliwa, kwa Mwokozi wetu Yesu  Kristo. Nyuso za Krismasi ni nyuso za wale walikuwa karibu zaidi. Zakaria na mke wake Elisabeti walikuwa wazazi wa Yohana       mbatizaji .Wote wawili walimpenda Mungu  sana, wote wawili walimtumkia Mungu kwa moyo safi na …

Continue Reading