Swahili Service

MUNGU ATAKUPIGANIA VITA

SOMO: KUTOKA 14:14 Huu ni mwaka mpya 2020. Lakini safari bado vita vya kiroho vingaliko, lakini kwa mwaka huu hebu tukamruhusu Mungu atupiganie vita. Bwana anapotupigania ushindi ni lazima. Kufahamu jinsi ya kupata ushindi ni jambo la busara sana. Kila mwana wa Mungu anaye jemedari ambaye hajapoteza vita yeyote. Katika kutoka 14:14 “Bwana atawapigania hinyo, …

Continue Reading