Swahili Service

MTUMIKIE MUNGU MPAKA MWISHO

MFULULIZO: MUNGU NI PENDO SOMO:   MALAKI 3:13-18 Mungu wetu yuasikia yote tuyasemayo na tunayowaza moyoni yetu. Katika  kifungu hiki cha Malaki 3:13-18, Mungu aliyasikia makundi mawili yaliyozungumza. Kundi la kwanza    lililalamika na kunungunika dhidi ya Mungu. Kundi la pili lilimwogopa Mungu na kumsifu kwa  mema aliyotenda. Mungu aliyasikia yote. Hebu nasi tusikize walivyosema:- I.  …

Continue Reading