Swahili Service

MUNGU ANATUMIA MIIBA

MFULULIZO:  JINSI YA KUSTAHIMILI DHOROBA ZA MAISHA SOMO:   II WAKORINTHO 12:7-10, II WAKORINTHO 11:1-30 Maisha si rahisi, maisha haya si kitanda cha maua ya waridi, bali maisha yana miiba yake. Mtu moja alisema. “Mungu hakuna wakati nilikushukuru kwa sababu ya miiba yangu, lakini nimekushuru zaidi mara elfu kwa maua uliyo nipa.” twahitaji kujifunza kumtukuza Bwana …

Continue Reading