MAKANISA SABA YA UFUNUO SOMO: UFUNUO 2:8-11 Mji wa Smirna ulikuwa maili 35 (56 km) kutoka Efeso. Mji wa Smirna ulikuwa na uchumi mzuri sana. Idadi ya watu 100,000 wakati wa Yohana. Mji wa Smirna umekuweko tangu miaka 3000. Mbele ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo, mji wa Smirna ulijengwa upya na kukua. Smirna uliitwa taji, …
Month: August 2020
A DIFFERENT SPIRIT
FAITH IS THE VICTORY NUMBERS 14:24 PREACHER: REV. DR. WILLY MUTISO Caleb had a different spirit one that enabled him enter the land of Canaan and find “Union” Hebron. There are seven characteristics of a different spirit. In Numbers 13:1-2 “The Lord said to Moses, choose a leader from each tribe and send them into …
EFESO-KANISA LILILOACHA UPENDO WA KWANZA
MAKANISA SABA YA UFUNUO UFUNUO 2:1-7 Yesu Kristo anatembea katikati ya makanisa yake. Anaelewa sana na hali na shughuli katika kanisa lake. Haya makanisa saba ya ufunuo yanaweza kutazamwa kwa njia tatu. Tunaweza kuyatazama kiunabii. Makanisa haya ya ufunuo yanaakilisha hatua saba za kanisa kwa miaka 2000 iliyopita. Kwa hio ni kweli, basi kanisa la …
NEEMA YA MUNGU HUBADILISHA WATU
NEEMA YA MUNGU NI YA AJABU TITO 2:11-14 Neema ya Mungu hubadilisha watu. Neema ni kipawa cha Mungu kupitia kwa Yesu Kristo Mwokozi wetu, Neema ni kwa kila mtu atakaye. Neema ya Mungu inapokelewa kwa njia ya Imani. Neema ya Mungu ni Mtu-yaani Yesu Kristo. Neema ni Mungu kutupokea na kutubadilisha ili sisi tufanane na …
BWANA ANAKAA KATIKATI YA KANISA LAKE
MAKANISA SABA YA UFUNUO UFUNUO 1:9-20 Huu ni ujumbe wa utangulizi katika mfululizo wa ujumbe juu ya Makanisa saba ya ufunuo. UTANGULIZI-KANISA KATIKA ULIMWENGU HUU. Tunapoendelea katika ulimwengu huu kama kanisa, swali kuu ni “Je, kanisa litakuwa nini ulimwenguni?” Ni jambo la maana sana kwa kila aliye kanisani kutambua yeye ni nani na kitambulisho chake, …
A LOOK OF A PLACE CALLED HEAVEN.
THE END OF TIME REVELATION 21:1-27 As we come to the end of this series this series of messages concerning the end of time, I could think of no better way to end it than to end it with a sermon about Heaven: The Blessed home of the redeemed. There is a blessed home waiting …
: DELIVERANCE FROM THE ROD OF THE WICKED
MY GOD IS MY DELIVERER TEXT: PALMS 125:1-5 “They that trust in the Lord shall be a mount Zion, which cannot be moved but abideth forever. As the mountains are around about Jerusalem, so the Lord is around about His people from hence forth even forever. For the rod of the wicked shall not rest …
