Swahili Service

MWANAMKE ANAPOMPENDA MWANAMUME

MFULULIZO: MAISHA NA NYAKATI ZA DAUDI SOMO: 1 SAMWELI 18:14-30 Mikali anawakilisha wanawake wanaoumia wasioeleweka, waliokataliwa. Wamevunjwa mioyo, wametusiwa na kutumiwa vibaya, wamekanyangwa chini. Hebu tuone maisha ya Daudi na Mikali, “Mwanamke anapompenda mwanamme.” AINA ZA WANAWAKE DUNIANI. Wanawake ni wa aina nyingi. Wapenda sherehe (party girls). Hawa wanapenda sana kuwa na maisha mema na …

Continue Reading