Swahili Service

JE, WEWE HUKUJUA? HUKUSIKIA?

SOMO: ISAYA 40:28-31.   Nguvu za mwanadamu haziwezi kutosha tunapo pitia katika changamoto na magumu ya maisha. Haijalishi wewe ni nani na nguvu zako. Kila mmoja wetu atakutana na changamoto zinazotisha maisha yetu. Hatuwezi kwa nguvu zetu kushinda. Tunahitaji Mungu kila saa-Isaya 40:28-31. Mungu alimuuliza Isaya nabii, “Je, wewe hukujua? Hukusikia? Mungu wa milele Bwana, …

Continue Reading