Swahili Service

WOKOVU WETU MKUU

MFULULIZO: TUMAINI HAI. SOMO: 1 PETRO 1:10-12.   Mtume Petro amekubali kwamba wakristo wa kwanza wametawanyika pote wakihofia maisha yao. Hawa Wakristo amewahimiza kwamba wakafurahi sana hata katika mateso. Amewaeleza kwamba wamepata urithi mkuu katika Kristo. Mateso ni kwa muda mfupi tu, tukilinganisha na urithi tuliopata katika Yesu Kristo. Petro amewapongeza sana kwamba hata ingawa …

Continue Reading