Swahili Service

KRISMASI MAANAKE NI FURAHA KWA DUNIA YA DHIKI NA SHIDA

MFULULIZO: KRISMASI NI KUFUNULIWA KWA YESU KRISTO.  SOMO: LUKA 2:8-14.   Krismasi inafunua jibu la Mungu la furaha katika dunia ya dhiki, shida na farakano. “Malaika akawaambia, msiogope; kwa kuwa mimi ninawaletea habari njema ya furaha kuu itakayokuwa kwa watu wote”-Luka 2:10. Dunia hii tunayoishi ni mahali pa dhiki, shida, magumu ya uchumi, magonjwa, hofu …

Continue Reading