Swahili Service

KRISMASI MAANAKE NI FURAHA KWA DUNIA YA DHIKI NA SHIDA

MFULULIZO: KRISMASI NI KUFUNULIWA KWA YESU KRISTO.  SOMO: LUKA 2:8-14.   Krismasi inafunua jibu la Mungu la furaha katika dunia ya dhiki, shida na farakano. “Malaika akawaambia, msiogope; kwa kuwa mimi ninawaletea habari njema ya furaha kuu itakayokuwa kwa watu wote”-Luka 2:10. Dunia hii tunayoishi ni mahali pa dhiki, shida, magumu ya uchumi, magonjwa, hofu …

Continue Reading
Swahili Service

FURAHA YA WENYEJI WA UFALME WA MUNGU.

MFULULIZO: JINSI YA KUISHI MAISHA YA UFALME WA MUNGU. SOMO: WAFILIPI 3:20-21.   Zaidi tunapofahamu utambulisho wetu kama wenyeji wa ufalme wa Mungu, ndiposa tutakapopata ujuzi kamili wa furaha inayoletwa na ufalme wa Mungu. “Kwa maana sisi, wenyeji wetu uko mbinguni, kutoka huko tena tunamtazamia Mwokozi, Bwana Yesu Kristo-Wafilipi 3:20. Wenyeji unakuja pamoja na haki …

Continue Reading