Kings Of Judah Swahili Service

NGUZO NNE ZA MOYO WA MWANAUME

I WAFALME 2:1-4 UTANGULIZI Katika mwaka  1555, Hugh Latimer na Nicholas Ridley walitoka gerezani kwa mara ya mwisho. Walihukumiwa mauti kwa kuchomwa moto kwa sababu walikataa kumkana Yesu Kristo na kukataa Imani yao katika Kristo. Walipokaribia motoni, Latimer alimwambia Ridley “Furahini, Ridley simama kiume. Leo tutahakisha taa hakuna mtu atakaye zima, kwa neema ya Mungu”.       …

Continue Reading