MATHAYO 25:1-13 Mfano wa wana wali kumi ulipeanwa na Yesu Kristo. Kristo alipenda kueleza jinsi ufalme wa mbinguni ulivyo. Mfano huu unajulikana sana duniani. Kristo alitoa mfano huu siku chache kabla ya kumaliza kazi yake hapa duniani. Kristo alipenda sana wate waweze kuelewa kwamba mlango wa neema ya Mungu unafungwa ghafla. Siku ya neema imekuwa …
Category: YESU KRISTO YUARUDI TENA
KITI CHA ENZI – KIKUBWA, CHEUPE
UFUNUO 20:11-15 Kuna vitu kadha kuhusu kiti cha enzi Kikubwa, cheupe cha hukumu. Watakatifu na wenye dhambi wanaitaji kuelewa. Waliokufa wote tangu dunia kuumbwa watafufuliwa toka kaburini na bahari wapokee hukumu kulingana na matendo yao yalioandikwa katika vitabu vya Mungu. Kiti hiki cha enzi ni kikubwa na ni cheupe kuonyesha utakatifu wa Mungu, hekima na …
