MFULULIZO: DANIELI-MUNGU NDIYE HAKIMU SOMO: DANIELI 2:1-20 Danieli alipewa na Mungu maarifa na ujuzi katika elimu na hekima. Zaidi ya hayo Danieli alikuwa na ufahamu katika maono yote na ndoto. Maarifa, ujuzi, ufahamu na hekima ndizo tunahitaji ili kupanda mpaka juu zaidi. Luka 21:15, “Kwa sababu mimi nitawapa kinywa na hekima ambayo watesi wenu …
Category: Swahili Service
TUMEITWA TUTENGENEZE HISTORIA.
MFULULIZO: DANIELI-MUNGU NDIYE MHUKUMU. SOMO: DANIELI 1:1-21 Mapenzi ya Mungu ni tuwe watu wa kutengeneza historia katika maisha ya watu wengine. Leo tumeanza mfululizo wa jumbe katika kitabu cha nabii Danieli. Mwongozo wa kitabu cha Danieli ni “Mungu anatawala juu ya yote” “God is sovereign.” Kila mlango katika Danieli unazungumza juu ya ukuu wa …
JE, WEWE HUKUJUA? HUKUSIKIA?
SOMO: ISAYA 40:28-31. Nguvu za mwanadamu haziwezi kutosha tunapo pitia katika changamoto na magumu ya maisha. Haijalishi wewe ni nani na nguvu zako. Kila mmoja wetu atakutana na changamoto zinazotisha maisha yetu. Hatuwezi kwa nguvu zetu kushinda. Tunahitaji Mungu kila saa-Isaya 40:28-31. Mungu alimuuliza Isaya nabii, “Je, wewe hukujua? Hukusikia? Mungu wa milele Bwana, …
REHEMA ZAKE HAZIKOMI
SOMO: MAOMBOLEZO 3:22-24. Tunahitaji rehema za Mungu kuishi, ulinzi na kupandishwa katika kila eneo katika maisha yetu. Safari ya maisha ni ngumu kueleza wakati mwingine mambo yanatujia bila repoti. Wakati mwingine si walio na nguvu wanapona, si kila wenye hekima na akili, si kila wenye fedha na mali wanapona lakini wale tu wanaongojea rehema …
ANA-ALIUTARAJIA UKOMBOZI WA ISRAELI.
SOMO: LUKA 2:36-38. Kuokoka ni kuishi maisha ya kutarajia ukombozi wa Mungu. Mungu anawabariki wanaomtarajia Mungu katika kuomba kwa kufunga na kuomba. Katika ibada ya kingereza tunatazama maisha na kazi ya Simioni. Simioni na Ana ni watu wawili wasio ubiriwa sana wakati huu wa Krismasi. Leo tunatazama maisha na huduma ya Ana mke nabii. …
KWA NINI BIKIRA ALIZAA?
SOMO: WAGALATIA 4:1-8. Krismasi inao maana tofauti kwa watu tofauti. Kwa watu wengine Krismasi ni wakati wa kupeana zawadi, miti ya Krismasi, maua kwa milango na Santa Claus. Kwa watu wengine Krismasi ni wakati wa hasira, hawapendi kusikia Mungu na habari za Yesu Kristo. Wengine hawapendi Krismasi kwa maana Krismasi ni Kristo na maana …
NGUVU ZA NENO LA UNABII.
SOMO: ISAYA 3:10-11. Kuna neno la unabii juu ya mwenye haki kwamba mwenye haki atakuwa heri. Katika mipango na makundi ya mwanadamu watu wanapangwa kulingana na misingi ya utajiri, rangi ya ngozi zao, kabila na pia jinsia. Lakini Mungu anapomtazama mwanadamu anawagawanya wanadamu kulingana na ufalme wake, mwanadamu ni mwenye haki au mwenye dhambi. …
MUNGU WA MILELE NA MIKONO YAKE YA MILELE
SOMO: KUMBUKUMBU LA TORATI 33:27. Mungu wa milele ni Mungu mkuu zaidi, anawaongoza watu wake kutoka na maovu ya kila haina. Mikono yake ya milele na wema wake vinaonekana katika kila sehemu ya maisha yetu. Mungu anatambulishwa kwetu kama Mungu wa milele. Huyu Mungu wa milele ndiye maficho yetu. Tunashikwa na mikono yake na …
NAWE UTALITAJA NENO, NALO LITATHIBITIKA KWAKO
SOMO: AYUBU 22:27-29 Watoto wa Mungu wamepewa uwezo wa kulitaja na kukusudia neno, kuambatana na neno la Mungu na Mungu anadhibitisha lile neno. “Nawe utakusudia neno, nalo litadhibitika kwako”-Ayubu 22:28. Kutaja au kukusudia neno Maanake ni kutumia uwezo na nguvu za Mungu kuamrisha neno kulingana na sheria za Mungu. Mungu ametufanya kuwa wafalme na …
VITU VYETU VYA DHAMANI.
MFULULIZO: YESU KRISTO KWETU NI DHMAMANI SOMO: 1 PETRO 1:1-4. Katika Petro wa kwanza na wa pili, mtume Petro mara 5 anataja vitu vya dhamani ambavyo Mungu amewapa watu wake. Tunaposema kitu cha dhamani, watu wengi wanafikiri dhamni ni kitu ambacho ni cha maana sana. Pengine wengine wanasema watoto wao ndio dhamani zaidi, pengine …
