MFULULIZO: RUTHU SOMO: RUTHU 2:2-19. Kabla Ruthu kupata kupenya kwa Boazi, Ruthu aliomba kibali na neema. Hatima yako inahitaji sana kibali na neema. Ruthu 2:2, “Naye Ruthu Mmoabi akamwambia Naomi, sasa niende kondeni niokote masaza ya masuke nyuma yake, yule ambaye nitaona kibali machoni pake, akamwambia, haya mwanangu nenda.” Ruthu 2:10, “Ndipo aliposujudia, akainama …
Category: Swahili Service
NAOMI ALIRUDI NYUMBANI
MFULULIZO: RUTHU SOMO: RUTHU 1:1-22. Katika ujumbe wa kwanza tulitazama jinsi jamii inaweza kufanya makosa kubwa kwa kutoomba mwongozo kutoka kwa Mungu na kwa kutomtegemea Mungu mahitaji yao. Ilikuwa wakati waamuzi walitawala Israeli, kulikuwa na njaa katika nchi hivyo Elimeleki, Naomi na watoto wao wawili walihama kutoka Bethlehemu ya Yuda na kwenda nchi ya …
JAMII ILIYOFANYA MAKOSA
MFULULIZO: RUTHU SOMO: RUTHU 1:1-2. Katika somo letu leo, naomba kukuonyesha jamii iliyoishi katikati ya watu lakini kwa sababu ya wakati mgumu, walifunga virago vyao na kwenda nchi ya Moabu. Pengine wewe ungesema “kwani kuna shida gani kuhama?” Je, si watu wanahama kila wakati?” hii ni kweli lakini ukiona jambo katika Biblia, lipo hapo …
MTU WA MUNGU LAZIMA KUPIGA VITA
MFULULIZO: NIFANYE NIWE BARAKA SOMO: 1 TIMOTHEO 6:11-16 Tumeona katika mfululiza huu wa “nifanye kuwa baraka” kwamba cheo cha juu zaidi na heshima ya juu zaidi katika ufalme wa Mungu juu ya mtu katika maisha haya ni kuitwa “mtu wa Mungu” au “mwanamke wa Mungu.” Lakini si kila mtu anao mawazo hayo. Kuna watu …
MTU WA MUNGU LAZIMA KUFUATA
MFULULIZO: NIFANYE NIWE BARAKA SOMO: 1 TIMOTHEO 6:1-19 (11) “Bali wewe mtu wa Mungu uyakimbie mambo hayo, ukafuate haki, utauwa, imani, upendo, saburi upendo. Piga vita vile vizuri vya imani. Shika uzima ule wa milele ulioitiwa, ukaungama maungamo mazuri mbele ya mashahidi wengi”-Vs. 11-12. Huu ndio ujumbe wa pili katika mfululizo wa “Nifanye kuwa …
MTU WA MUNGU-KIMBIA MAMBO HAYA
MFULULIZO: NIFANYE NIWE BARAKA SOMO: 1 TIMOTHEO 6:1-16 (11) Katika 1 Timotheo 6:1-11, Mtume Paulo alikuwa akinena na kijana mtumishi wa Mungu Timotheo. Lakini ukitazama kwa makini zaidi mtume Paulo anaongea na mtu aitwaye “Mtu wa Mungu.” “Lakini wewe, mtu wa Mungu”- V.11. Kuitwa “Mtu wa Mungu” au “Mwanamke wa Mungu” ndio cheo na …
JINSI YA KUSTAHIMILI KATIKA GEREZA ZA MAISHA
MFULULIZO: YUSUFU SOMO: MWANZO 39:1-23 (20-23). Maisha ya Yusufu ni moja wapo wa hadithi kuu katika Biblia. Maisha ya Yusufu ni kisa cha huzuni na utukufu, uchungu na kufaulu. Maisha ya Yusufu yanatupatia masomo kadhaa. Somo moja imeandikwa katika vifungu vya Mwanzo 39:20-23. Katika kifungu hiki tunampata Yusufu katika hali mbaya. Kijana wa miaka …
BWANA AKAWA PAMOJA NA YUSUFU
MFULULIZO: YUSUFU SOMO: MWANZO 39:1-6. Tulipokuwa na Yusufu hapo awali alikuwa amesalitiwa na nduguze na kuuzwa kama mtumwa kwa Waishimaeli kwa bei ya chini sana. Ndugu zake walimuuza kwa bei ya kiwete. Basi Waishimaeli na wao wakamuuza Yusufu huko Misri kwa mtu wa Misri aitwaye Potifa, mkuu wa askari mtu (mzaliwa) wa Misri. Hebu …
YUDA HAKUSTAHILI KUWA KIONGOZI
MFULULIZO: YUSUFU SOMO: MWANZO 38:1-30. Ikiwa unapenda kuwa kiongozi wa watu na kuwa na usemi juu ya watu, basi kuwa mtu wa msimamo, usiwe kama dunia. Chukua jukumu juu ya jamii yako, anagalia sana maisha na tabia yako na zaidi ya yote tazamia neema ya Mungu. Katika Mwanzo 38, tunaona ni kwa nini Mungu …
HAIJAISHA MPAKA MUNGU ASEME IMEKWISHA
MFULULIZO: MAISHA NA NYAKATI ZA ELISHA SOMO: 2 WAFALME 13:14-21 Wengi walisema kifo cha Elisha kilikuwa mwisho wake na huduma yake. Lakini Mungu aliendelea kumtumia Elisha hata katika kaburi lake!! Benny Hinn angali anaenda kupokea nguvu zake kwa kaburi ya Kathryn Kulman. Hivyo wewe nami tusijihuzuru katika kazi ya Mungu mpaka mauti na zaidi …
