MFULULIZO: MAISHA NA NYAKATI ZA ELISHA SOMO: 2 WAFALME 9:1-37; UFUNUO 2:18-29. Nabii Elisha sasa alikuwa mzee sana. Yehu alipoitaji kupakwa mafuta kuwa mfalme, Elisha alimtumia nabii mwanafunzi kumtawaza Yehu. Leo tunaangazia mwanamke mwenye uovu mwingi sana Yezebeli. Yezebeli alikuwa mwanamke mwenye ushawishi mkuu katika Israeli yote. Mume wake Yezebeli alikuwa Ahabu, mfalme wa …
Category: Swahili Service
FAHAMU NAFSI YAKO
MFULULIZO: MAISHA NA NYAKATI ZA ELISHA SOMO: 2 WAFALME 8:7-15. Mwana philosophia mmoja kwa jina Socrates hapo zamani alisema “jifahamu mwenyewe” na “maisha isiyojulikana aina maana kuishi” “The unknown life is not worthy living.” Kila mtu anaye mbwa ndani yake. Miti mikubwa inaanguka kwa upepo na dhoruba. Saa nyingine mtu anafanya jambo linalo washangaza …
JINSI YA KUPINDUA LAANA
MFULULIZO: MAISHA NA NYAKATI ZA ELISHA SOMO: 2 WAFALME 5:17; 7:9; 8:4-5; WAGALATIA 3:13. Kuna haina mbili za laana. Kwanza ni laana inayopata mtu kwa kumwasi Mungu kwa dhambi zake mtu huyo, pili kuna laana inayompata mtu kwa sababu ya makosa juu ya mamlaka ya wazazi, wakuu wa kiroho, serikali nk. Pia laana inaweza …
WALIO PAMOJA NASI NI WENGI KULIKO WALIO NAO
MFULULIZO: MAISHA NA NYAKATI ZA ELISHA SOMO: 2 WAFALME 6:8-23 (16). Watu wa Mungu wanaonekana dhaifu, tunapowalinganisha na watu wa dunia. Lakini hio si kweli. Nguvu na uwezo ziko na kanisa kwa maana jeshi lisiloonekana linawazingira watu wa Mungu kila wakati. Walio nasi ni wengi kuliko walio pamoja nao-Vs. 16. Tunahitaji kufunguliwa macho ya …
JINSI YA KUVUNJA VIKWAZO VYAO
MFULULIZO: MAISHA NA NYAKATI ZA ELISHA SOMO: 2 WAFALME 6:1-7. Mtu wa Mungu anaweza kufaulu katika maisha yake kama ataamua kwa nguvu za Mungu kuvunja zile vikwazo. Na kukata vizuizi vinavyotoka kwa ufalme wa giza. Katika kifungu hiki tunaona manabii walitambua mapungufu na vikwazo vyao kwa huduma yao kwa MUNGU. Wakati mwingine tunapoona kufaulu katika …
BARAKA KUPITIA WASAIDIZI HATIMA
MFULULIZO: MAISHA NA NYAKATI ZA ELISHA SOMO: 2 WAFALME 5:1-8 Mungu amepanga kila mmoja kupata baraka kupitia kwa wasaidizi wa hatima. Naamani alisaidiwa na kijana mwanamke asiyetoka nchi ya Israeli. Huyu kijana mwanamke alikuwa mtumwa. Mungu pekee anawainua watu kupitia watu wengine. Mungu anawabariki watu kupitia watu. Usaidizi wa Mungu unapitia watu wanaoinuliwa na …
‘MAUTI IMO SUFURIANI’
MFULULIZO: MAISHA NA NYAKATI ZA ELISHA SOMO: 2 WAFALME 4:38-41 Hakuna anayenufaisha shetani kama pasta wa uongo. Kama jinsi Yesu Kristo amekawia kurudi nabii wa uongo wameongezeka duniani. Leo tunatazama mmoja wa wana wa manabii aliyewapa wana wa manabii sumu-Vs. 38-41. Hebu tuone:- MTU WA MUNGU ALIYEIPA KANISA SUMU. Siku hizi za mwisho kunao …
NDOTO NA TUMANINI ZAKO ZINAPOKUFA
MFULULIZO: MAISHA NA NYAKATI ZA ELISHA SOMO: 2 WAFALME 4:8-37 Hiki ni kisa cha mama aliyekuwa tasa kwa muda mrefu. Baadaye akapata muujiza na kujaliwa mtoto wa kiume. Lakini baada ya miaka yule mtoto akafa. Lakini huyu mama akashikilia imani mpaka Mungu akamfufua yule mtoto. Huyu mama wa huko Shunemu alikuwa mkuu kwa imani …
MAKOSA KATIKA HATIMA
MFULULIZO: MAISHA NA NYAKATI ZA ELISHA SOMO: MHUBIRI 10:5-7; 2 WAFALME 4:1-7 Makosa ya hatima yanaonekana kila mahali leo. Unapotazama maisha yako na kuona kwamba mahali na hali yako sio mahali ungalikuwa, basi makosa yaliingia katika maisha yako. Unapoona mpaka sasa ungali unanyenyekea shetani na umeokoka-makosa. Ikiwa mpaka leo unakopa fedha, chakula, badala yako …
“FANYA BONDE LAKO LIJAE MAHANDAKI”
MFULULIZO: MAISHA NA NYAKATI ZA ELISHA SOMO: 2 WAFALME 3:1-27 Wafalme watatu waliacha Mungu nje ya mipango yao. Katika dhiki yao walimuomba Mungu apate kuwasaidia. Huwezi kupigana vita vya kiroho mpaka kutubu dhambi zako, pamoja na uasi, ubinafsi na dharao. Hivyo upako wa Roho Mtakatifu utapatikana. Fanya bonde la maisha yako lijae mahandaki (ditches). …
