MFULULIZO: MAISHA NA NYAKATI ZA ELISHA. SOMO: 2 WAFALME 2:19-22 Ujumbe wa leo ni juu ya jinsi tunaweza kupata ukombozi juu ya maovu. Pengine wewe utasema pasta, mimi nimeokoka, hivyo tayari nimekombolewa kutokana na uovu wote, hivyo mimi sihitaji kusikia maujumbe juu ya ukombozi. Lakini wewe unaishi dunia gani? Maana Biblia inazungumzia juu ya …
Category: Swahili Service
MWITO NA KAZI YA ELISHA
MFULULIZO: MAISHA NA NYAKATI ZA ELISHA. SOMO: I WAFALME 19:19-20; 2 WAFALME 2:1-25 Elisha alikuwa nabii msaidizi wa nabii Eliya. Elisha alikuwa nabii wa upako marudufu ya Eliya. Hebu tuone mwito wake kwa kazi ya unabii:- KUJIBU MWITO WA MUNGU. Mwito-1st Wafalme 19:19. Mungu alikuwa amemjulisha Eliya kumtia Elisha mafuta. Elisha mkulima ndiye atakuwa …
JINSI YA KUVUA MIZIGO YAKO
SOMO: WAFILIPI 3:13-14. Katika siku hizi za mwisho, watu wamebeba na kubebeshwa mizigo zaidi. Je, utafanya nini? Je, utaongea na pasta wako, rafiki yako au utamwendea mshauri wa kulipa? Katika Wafilipi 3:13-14, Mtume Paulo anatueleza jinsi ya kutwika mizigo yetu nzito kwa Mungu. Je, nitafanya nini na mizigo yangu nzito? SAHAU NA SAMEHE YALIYO …
HAIKUWEZEKANA KRISTO ASHIKWE NA MAUTI
MFULULIZO: PASAKA 2024 SOMO: MATENDO 2:22-36 Kweli haikuwezekana Mwokozi wetu Yesu Kristo ashikwe na mauti na kaburi. Alifufuka siku ya tatu-Haleluya. Yesu Kristo alionja mauti kwa ajili yetu, akakufa hivyo hatuna haja ya hofu tena. Leo tunatazama ujumbe wa kwanza wa Injili ya Yesu Kristo. Kwa ujumbe huo wa kwanza wa Injili tunaona kwamba …
SIKU YA FURAHA NA MACHOZI.
SOMO: LUKA 19:28-45. (ZABURI 118) Leo ni siku iitwayo “Jumapli ya mitende” yaani “Palm Sunday.” Juma hili ndiyo juma la mwisho ya maisha ya Yesu Kristo katika mwili hapa duniani. Ilikuwa siku ya furaha, na pia siku ya machozi. Siku hii ya leo, miaka 2,000 iliyopita Yesu Kristo aliingia Yerusalemu kwa nderemo na shangwe …
YESU KRISTO – MKATE WA UZIMA
MFULULIZO: SAFIRI NA MTUME YOHANA. SOMO: YOHANA 6:22-35. Sura hii ya sita inapofunguliwa tunampata Yesu Kristo akiwahubiri watu wengi, watu wenye njaa zaidi. Alipomaliza kuwahubiri walikuwa na njaa katika miili yao. Kwa mikate mitano na samaki wawili, Yesu Kristo aliwashibisha wanaume 5,000 na wanawake na watoto si haba. Mungu pekee ndiye anauwezo wa kufanya …
YESU KRISTO YUKO WAPI KATIKA DHORUBA
MFULULIZO: SAFIRI NA MTUME YOHANA. SOMO: YOHANA 6:15-21. Maisha ni mfululizo wa changamoto na shida. Kila wakati pengine uko katika bonde la changamoto hau uko karibu kuingia hau unatoka. Sababu ni kwamba Mungu anakujenga tabia yako, kwa maana kwa Mungu tabia ni maana zaidi kuliko starehe. Mungu anapenda zaidi utakatifu wako kuliko furaha yako. …
BABA AWATAFUTA WAABUDUO KATIKA KWELI NA ROHO
MFULULIZO: SAFIRI NA MTUME YOHANA. SOMO: YOHANA 4:20-25; YEREMIA 26:3-11. Mungu awatafuta watu watakao mwabudu katika kweli na katika roho, je, wewe ni mmoja wao? Mungu wetu na Bwana Yesu Kristo ametujulisha mapenzi ya moyo wake-anatafuta watu wamwabudu yeye. Katika historia ya mwanadamu wengi wamejaribu kuabudu. Lakini wengi waliabudu Mungu asiyejulikana. Leo tutazame haina …
WASAMARIA NI WATU PIA
MFULULIZO: SAFIRI NA MTUME YOHANA SOMO: YOHANA 4:1-30 Katika somo letu leo tunaona mwanamke aliyeishi maisha ya mzunguko mzunguko, aliyekuwa katika mzunguko wa furaha yaani, ‘merry go-round’. Maisha yake yalikuwa yamechakaa lakini siku moja Yesu Kristo alikutana naye, katika kisima cha Yakobo karibu na mji wa Sikari. Yesu alipokutana na huyu mwanamke Msamaria, aliyafungua …
HABARI NJEMA KUTOKA MBINGUNI
MFULULIZO: SAFIRI NA MTUME YOHANA SOMO: YOHANA 3:16 Siku hizi ni kama kila mtu anazo habari za kueleza. Wanahabari na watangazaji wanataka uwasikilize, wanasiasa pia, wahubiri na sikiza na Citizen. Lakina kuna Yeye anenaye kutoka mbinguni. Mungu baba anao ujumbe kwa ajili yako na mimi. Mungu anaponena nawe anasema nini? Hebu tuone:- MUNGU ANA …
