Swahili Service

MAMLAKA KI-BIBLIA

MFULULIZO: TUMAINI HAI. SOMO: 1 Petro 2:11-25.   Kunyenyekea ndilo neno linalochukiwa sana duniani. Wengi wetu tunafanya kama jinsi kijana mmoja alivyolazimishwa na mama yake kuketi chini. “Johnny tafadhali keti chini.” Johnny alipokataa kuketi chini, mamake alitumia nguvu kumketisha chini. Ndiposa alipoketi alimwambia mamake, “Mama hata ingawa nimeketi kimwili, lakini katika roho yangu ningali nimesimama.” …

Continue Reading