Swahili Service

FUNGUO MBILI ZINAZOFUNGUA BARAKA SABA.

MFULULIZO: RUTHU SOMO: RUTHU 2:2-19.   Kabla Ruthu kupata kupenya kwa Boazi, Ruthu aliomba kibali na neema. Hatima yako inahitaji sana kibali na neema. Ruthu 2:2, “Naye Ruthu Mmoabi akamwambia Naomi, sasa niende kondeni niokote masaza ya masuke nyuma yake, yule ambaye nitaona kibali machoni pake, akamwambia, haya mwanangu nenda.” Ruthu 2:10, “Ndipo aliposujudia, akainama …

Continue Reading