SOMO: LUKA 2:36-38. Kuokoka ni kuishi maisha ya kutarajia ukombozi wa Mungu. Mungu anawabariki wanaomtarajia Mungu katika kuomba kwa kufunga na kuomba. Katika ibada ya kingereza tunatazama maisha na kazi ya Simioni. Simioni na Ana ni watu wawili wasio ubiriwa sana wakati huu wa Krismasi. Leo tunatazama maisha na huduma ya Ana mke nabii. …